Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Lk 17:5-6

Lk 17:5-6 SUV

Mitume wakamwambia Bwana, Tuongezee imani. Bwana akasema, Kama mngekuwa na imani kiasi cha chembe ya haradali, mngeuambia mkuyu huu, Ng’oka, ukapandwe baharini, nao ungewatii.