Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 14:28-29

Mathayo 14:28-29 NEN

Petro akamjibu, “Bwana, ikiwa ni wewe, niambie nije kwako nikitembea juu ya maji.” Yesu akamwambia, “Njoo.” Basi Petro akatoka kwenye chombo, akatembea juu ya maji kumwelekea Yesu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 14:28-29