Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 15:18-19

Mathayo 15:18-19 NEN

Lakini kitokacho kinywani hutoka moyoni, na hiki ndicho kimtiacho mtu unajisi. Kwa maana ndani ya moyo hutoka mawazo mabaya, uuaji, uzinzi, uasherati, wizi, ushahidi wa uongo na masingizio.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 15:18-19