Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 4:1-2

Mathayo 4:1-2 NEN

Kisha Yesu akaongozwa na Roho Mtakatifu kwenda nyikani ili akajaribiwe na ibilisi. Baada ya kufunga siku arobaini usiku na mchana, hatimaye akaona njaa.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 4:1-2