Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Marko 1:10-11

Marko 1:10-11 NEN

Yesu alipokuwa akitoka ndani ya maji, aliona mbingu zikifunguka na Roho akishuka juu yake kama hua. Nayo sauti kutoka mbinguni ikasema, “Wewe ni Mwanangu mpendwa; nami nimependezwa nawe sana.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Marko 1:10-11