Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Marko 12:41-42

Marko 12:41-42 NEN

Kisha Yesu akaketi mkabala na sehemu ambapo sadaka zilikuwa zinawekwa na kuangalia umati wa watu wakiweka fedha zao kwenye sanduku la hazina ya Hekalu. Matajiri wengi wakaweka kiasi kikubwa cha fedha. Lakini mjane mmoja maskini akaja na kuweka sarafu mbili ndogo za shaba zenye thamani ya senti mbili.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Marko 12:41-42