Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mk 12:41-42

Mk 12:41-42 SUV

Naye akaketi kulielekea sanduku la hazina, akatazama jinsi mkutano watiavyo mapesa katika sanduku. Matajiri wengi wakatia mengi. Akaja mwanamke mmoja, mjane, maskini, akatia senti mbili, kiasi cha nusu pesa.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mk 12:41-42