Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Marko 4:40-41

Marko 4:40-41 NEN

Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Kwa nini mnaogopa hivyo? Je, bado hamna imani?” Nao wakawa wameogopa sana, wakaulizana, “Ni nani huyu ambaye hata upepo na mawimbi vinamtii?”