Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Marko 8:37-38

Marko 8:37-38 NEN

Au mtu atatoa nini badala ya nafsi yake? Mtu yeyote akinionea aibu mimi na maneno yangu katika kizazi hiki cha uzinzi na dhambi, Mwana wa Adamu naye atamwonea aibu wakati atakapokuja katika utukufu wa Baba yake pamoja na malaika watakatifu.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Marko 8:37-38