Zaburi 103:2-5
Zaburi 103:2-5 NENO
Ee nafsi yangu, umhimidi Mwenyezi Mungu, wala usisahau wema wake wote: akusamehe dhambi zako zote, akuponya magonjwa yako yote, aukomboa uhai wako na kaburi, akuvika taji la upendo na huruma, atosheleza mahitaji yako kwa vitu vyema, ili ujana wako uhuishwe kama wa tai.