Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 50:10-11

Zaburi 50:10-11 NEN

Kwa maana kila mnyama wa msituni ni wangu, na pia makundi ya mifugo juu ya vilima elfu. Ninamjua kila ndege mlimani, nao viumbe wa kondeni ni wangu.