Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 69:13-15

Zaburi 69:13-15 NEN

Lakini Ee BWANA, ninakuomba, kwa wakati ukupendezao; katika upendo wako mkuu, Ee Mungu, unijibu kwa wokovu wako wa hakika. Uniokoe katika matope, usiniache nizame; niokoe na hao wanichukiao, kutoka kwenye vilindi vya maji. Usiache mafuriko yanigharikishe au vilindi vinimeze, au shimo lifumbe kinywa chake juu yangu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 69:13-15