Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 95:1-2

Zaburi 95:1-2 NEN

Njooni, tumwimbie BWANA kwa furaha; tumfanyie kelele za shangwe Mwamba wa wokovu wetu. Tuje mbele zake kwa shukrani, tumtukuze kwa vinanda na nyimbo.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 95:1-2