Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 12:5-6

Ufunuo 12:5-6 NEN

Yule mwanamke akazaa mtoto mwanaume, atakayeyatawala mataifa yote kwa fimbo yake ya utawala ya chuma. Lakini huyo mtoto akanyakuliwa na kupelekwa kwa Mungu kwenye kiti chake cha enzi. Yule mwanamke akakimbilia jangwani, ambako Mungu alikuwa amemtayarishia mahali ili apate kutunzwa huko kwa muda wa siku 1,260.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufunuo 12:5-6