Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 12:5-6

Ufunuo 12:5-6 SRUV

Naye akazaa mtoto wa kiume, yeye atakayewachunga mataifa yote kwa fimbo ya chuma. Na mtoto wake akanyakuliwa hadi kwa Mungu, na kwa kiti chake cha enzi. Yule mwanamke akakimbilia nyikani, ambapo ana mahali palipotengenezwa na Mungu, ili wamlishe huko muda wa siku elfu moja mia mbili na sitini.

Soma Ufunuo 12

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufunuo 12:5-6