Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 19:12-13

Ufunuo 19:12-13 NEN

Macho yake ni kama miali ya moto na juu ya kichwa chake kuna taji nyingi. Ana jina lililoandikwa ambalo hakuna mtu yeyote anayelijua isipokuwa yeye mwenyewe. Amevaa joho lililochoviwa katika damu, na Jina lake ni “Neno la Mungu.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufunuo 19:12-13