Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Warumi 8:16-17

Warumi 8:16-17 NEN

Roho mwenyewe hushuhudia pamoja na roho zetu ya kwamba sisi tu watoto wa Mungu. Hivyo, ikiwa sisi ni watoto, basi tu warithi, warithi wa Mungu, warithio pamoja na Kristo, naam, tukiteswa pamoja naye tupate pia kutukuzwa pamoja naye.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Warumi 8:16-17