Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Yoh 4:1-2

1 Yoh 4:1-2 SUV

Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani. Katika hili mwamjua Roho wa Mungu; kila roho ikiriyo kwamba Yesu Kristo amekuja katika mwili yatokana na Mungu.

Soma 1 Yoh 4

Verse Image for 1 Yoh 4:1-2

1 Yoh 4:1-2 - Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani. Katika hili mwamjua Roho wa Mungu; kila roho ikiriyo kwamba Yesu Kristo amekuja katika mwili yatokana na Mungu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Yoh 4:1-2