Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Yohana 4:1-2

1 Yohana 4:1-2 SRUV

Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zipimeni hizo roho, kama zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani. Katika hili mnamjua Roho wa Mungu; kila roho ikiriyo kwamba Yesu Kristo amekuja katika mwili yatokana na Mungu.

Soma 1 Yohana 4

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Yohana 4:1-2