Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Tim 1:9-10

1 Tim 1:9-10 SUV

akilifahamu neno hili, ya kuwa sheria haimhusu mtu wa haki, bali waasi, na wasio wataratibu, na makafiri, na wenye dhambi, na wanajisi, na wasiomcha Mungu, na wapigao baba zao, na wapigao mama zao, na wauaji, na wazinifu, na wafiraji, na waibao watu, na waongo, nao waapao kwa uongo; na likiwapo neno lo lote linginelo lisilopatana na mafundisho yenye uzima

Soma 1 Tim 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Tim 1:9-10