Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Sam 18:9-10

2 Sam 18:9-10 SUV

Na kwa bahati Absalomu akakutana na watumishi wa Daudi. Naye Absalomu alikuwa amepanda nyumbu wake, na yule nyumbu akapita chini ya matawi manene ya mwaloni mkubwa, hata kichwa chake kikakwama katika mwaloni huo, akanyakuliwa juu kati ya mbingu na nchi; na yule nyumbu aliyekuwa chini yake akaenda mbele. Basi mtu mmoja akaona hayo, akaenda akamwambia Yoabu, akasema, Tazama, mimi nalimwona Absalomu ametundikwa katika mwaloni.

Soma 2 Sam 18

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Sam 18:9-10