Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mdo 7:57-58

Mdo 7:57-58 SUV

Wakapiga kelele kwa sauti kuu, wakaziba masikio yao, wakamrukia kwa nia moja, wakamtoa nje ya mji, wakampiga kwa mawe. Nao mashahidi wakaweka nguo zao miguuni pa kijana mmoja aliyeitwa Sauli.

Soma Mdo 7

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mdo 7:57-58