Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 7:57-58

Matendo 7:57-58 SRUV

Wakapiga kelele kwa sauti kuu, wakaziba masikio yao, wakamrukia kwa nia moja, wakamtoa nje ya mji, wakampiga kwa mawe. Nao mashahidi wakaweka nguo zao miguuni pa kijana mmoja aliyeitwa Sauli.

Soma Matendo 7

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Matendo 7:57-58