Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Dan 8:19-21

Dan 8:19-21 SUV

Akaniambia, Tazama, nitakujulisha yatakayokuwa wakati wa mwisho wa ghadhabu; maana, ni ya wakati wa mwisho ulioamriwa. Yule kondoo mume uliyemwona, mwenye pembe mbili, hizo ndizo wafalme wa Umedi na Uajemi. Na yule beberu, mwenye manyoya mengi, ni mfalme wa Uyunani; na ile pembe kubwa iliyo kati ya macho yake ni mfalme wa kwanza.

Soma Dan 8

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Dan 8:19-21