Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Danieli 8:19-21

Danieli 8:19-21 BHN

Kisha akaniambia, ‘Sikiliza, ninakufahamisha matokeo ya ghadhabu ya Mungu yatakavyokuwa. Maono hayo yanahusu wakati wa mwisho. “ ‘Yule kondoo dume uliyemwona mwenye pembe mbili, ni wafalme wa Media na Persia. Yule beberu ni mfalme wa Ugiriki. Ile pembe kubwa katikati ya macho yake ni mfalme wa kwanza.

Soma Danieli 8

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Danieli 8:19-21