Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kut 39:42-43

Kut 39:42-43 SUV

Sawasawa na yote BWANA aliyomwagiza Musa, ndivyo walivyoifanya hiyo kazi yote wana wa Israeli. Musa akaiona hiyo kazi yote, na tazama, walikuwa wameimaliza; vile vile kama BWANA alivyoagiza, walikuwa wameifanya vivyo; basi Musa akawaombea heri.