Kutoka 39:42-43
Kutoka 39:42-43 Biblia Habari Njema (BHN)
Waisraeli walifanya kila kitu kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Mose. Mose alikagua kila kitu, akaridhika kwamba walikuwa wamefanya kila kitu kama Mwenyezi-Mungu alivyoamuru. Hivyo Mose akawabariki.
Shirikisha
Soma Kutoka 39Kutoka 39:42-43 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Sawasawa na yote BWANA aliyomwagiza Musa, ndivyo walivyoifanya hiyo kazi yote wana wa Israeli. Musa akaiona hiyo kazi yote, na tazama, walikuwa wameimaliza; vile vile kama BWANA alivyoagiza, walikuwa wameifanya vivyo hivyo; basi Musa akawaombea heri.
Shirikisha
Soma Kutoka 39Kutoka 39:42-43 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Sawasawa na yote BWANA aliyomwagiza Musa, ndivyo walivyoifanya hiyo kazi yote wana wa Israeli. Musa akaiona hiyo kazi yote, na tazama, walikuwa wameimaliza; vile vile kama BWANA alivyoagiza, walikuwa wameifanya vivyo; basi Musa akawaombea heri.
Shirikisha
Soma Kutoka 39