Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Eze 40:48-49

Eze 40:48-49 SUV

Ndipo akanileta mpaka ukumbi wa nyumba, akapima kila mwimo wa ukumbi, dhiraa tano upande huu, na dhiraa tano upande huu; na upana wa lango ulikuwa dhiraa tatu upande huu, na dhiraa tatu upande huu. Urefu wa ukumbi ulikuwa dhiraa ishirini, na upana wake dhiraa kumi na moja; karibu na madaraja ambayo waliupandia; tena palikuwa na nguzo karibu na miimo, moja upande huu, na moja upande huu.

Soma Eze 40

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Eze 40:48-49