Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Gal 4:4-5

Gal 4:4-5 SUV

Hata ulipowadia utimilifu wa wakati, Mungu alimtuma Mwanawe ambaye amezaliwa na mwanamke, amezaliwa chini ya sheria, kusudi awakomboe hao waliokuwa chini ya sheria, ili sisi tupate kupokea hali ya kuwa wana.

Soma Gal 4

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Gal 4:4-5