Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwa 27:39-40

Mwa 27:39-40 SUV

Isaka, baba yake, akajibu, akamwambia, Angalia, penye manono ya nchi patakuwa makao yako, Na penye umande wa mbingu unaotoka juu. Kwa upanga wako wewe utaishi, nawe utamtumikia nduguyo; Na itakuwa utakapoponyoka, Utalivunja kongwa lake katika shingo yako.

Soma Mwa 27

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwa 27:39-40