Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwa 39:20-21

Mwa 39:20-21 SUV

Bwana wake akamtwaa Yusufu, akamtia gerezani, mahali walipofungwa wafungwa wa mfalme, naye akawamo humo gerezani. Lakini BWANA akawa pamoja na Yusufu, akamfadhili, akampa kibali machoni pa mkuu wa gereza.

Soma Mwa 39

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwa 39:20-21