Mwanzo 39:20-21
Mwanzo 39:20-21 Biblia Habari Njema (BHN)
akamchukua Yosefu na kumtia gerezani, mahali walipofungwa wahalifu wa mfalme. Lakini hata humo gerezani Mwenyezi-Mungu alikuwa pamoja na Yosefu akimfadhili hata kumfanya apendeke mbele ya mkuu wa gereza.
Shirikisha
Soma Mwanzo 39Mwanzo 39:20-21 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Potifa akamchukua Yosefu na kumweka gerezani, mahali ambapo wahalifu wa mfalme walikuwa wamefungwa. Lakini wakati Yosefu alipokuwa huko gerezani, BWANA alikuwa pamoja naye, akamhurumia na kumpa kibali mbele ya msimamizi wa gereza.
Shirikisha
Soma Mwanzo 39