Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 39:20-21

Mwanzo 39:20-21 SRUV

Bwana wake akamtwaa Yusufu, akamtia gerezani, mahali wafungwa wa mfalme walimokuwa wamefungiwa, naye akawa humo gerezani. Lakini BWANA akawa pamoja na Yusufu, akamfadhili, akampa kibali machoni pa mkuu wa gereza.

Soma Mwanzo 39

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 39:20-21