Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Hos 14:9

Hos 14:9 SUV

Ni nani aliye na hekima, naye atayafahamu mambo haya? Ni nani aliye na busara, naye atayajua? Kwa maana njia za BWANA zimenyoka, nao wenye haki watakwenda katika njia hizo; bali waasio wataanguka ndani yake.

Soma Hos 14

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Hos 14:9