Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isa 56:6-7

Isa 56:6-7 SUV

Na wageni, walioandamana na BWANA ili wamhudumu, na kulipenda jina la BWANA, kuwa watumishi wake; kila aishikaye sabato asiivunje, na kulishika sana agano langu; Nitawaleta hao nao hata mlima wangu mtakatifu, na kuwafurahisha katika nyumba yangu ya sala; makafara yao na dhabihu zao zitakubaliwa juu ya madhabahu zangu; kwa maana nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala kwa mataifa yote.

Soma Isa 56

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Isa 56:6-7