Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yn 8:4-5

Yn 8:4-5 SUV

Wakamwambia, Mwalimu, mwanamke huyu amefumaniwa alipokuwa akizini. Basi katika torati, Musa alituamuru kuwapiga kwa mawe wanawake namna hii; nawe wasemaje?

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yn 8:4-5