Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohane 8:4-5

Yohane 8:4-5 BHN

Kisha wakamwuliza Yesu, “Mwalimu! Mwanamke huyu alifumaniwa katika uzinzi. Katika sheria yetu Mose alituamuru mwanamke kama huyu apigwe mawe. Basi, wewe wasemaje?”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohane 8:4-5