Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Lk 23:55-56

Lk 23:55-56 SUV

Na wale wanawake waliokuja naye toka Galilaya walifuata, wakaliona kaburi, na jinsi mwili wake ulivyowekwa. Wakarudi, wakafanya tayari manukato na marhamu. Na siku ya sabato walistarehe kama ilivyoamriwa.