Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Luka 23:55-56

Luka 23:55-56 SRUV

Na wale wanawake waliokuja naye toka Galilaya walifuata, wakaliona kaburi, na jinsi mwili wake ulivyowekwa. Wakarudi, wakatayarisha manukato na marhamu. Na siku ya sabato walistarehe kama ilivyoamriwa.

Soma Luka 23