Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mal 2:17

Mal 2:17 SUV

Mmemchokesha BWANA kwa maneno yenu. Lakini ninyi mwasema, Tumemchokesha kwa maneno gani? Kwa kuwa mwasema, Kila atendaye mabaya ni mwema machoni pa BWANA, naye huwafurahia watu hao, au, Mungu mwenye kuhukumu yuko wapi?

Soma Mal 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mal 2:17