Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mal 3:17-18

Mal 3:17-18 SUV

Nao watakuwa wangu, asema BWANA wa majeshi, katika siku ile niifanyayo; naam, watakuwa hazina yangu hasa; nami nitawaachilia, kama vile mtu amwachiliavyo mwanawe mwenyewe amtumikiaye. Ndipo mtakaporudi, nanyi mtapambanua kati ya wenye haki na waovu, na kati ya yeye amtumikiaye Mungu na yeye asiyemtumikia.

Soma Mal 3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mal 3:17-18