Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mt 22:19-21

Mt 22:19-21 SUV

Nionyesheni fedha ya kodi. Nao wakamletea dinari. Akawaambia, Ni ya nani sanamu hii, na anwani hii? Wakamwambia, Ni ya Kaisari. Akawaambia, Basi, mlipeni Kaisari yaliyo ya Kaisari, na Mungu yaliyo ya Mungu.

Soma Mt 22

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mt 22:19-21