Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mk 7:21-23

Mk 7:21-23 SUV

Kwa maana ndani ya mioyo ya watu hutoka mawazo mabaya, uasherati, wivi, uuaji, uzinzi, tamaa mbaya, ukorofi, hila, ufisadi, kijicho, matukano, kiburi, upumbavu. Haya yote yaliyo maovu yatoka ndani, nayo yamtia mtu unajisi.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mk 7:21-23