Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Flp 2:3-4

Flp 2:3-4 SUV

Msitende neno lo lote kwa kushindana wala kwa majivuno; bali kwa unyenyekevu, kila mtu na amhesabu mwenziwe kuwa bora kuliko nafsi yake. Kila mtu asiangalie mambo yake mwenyewe, bali kila mtu aangalie mambo ya wengine.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Flp 2:3-4