Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mit 3:13-14

Mit 3:13-14 SUV

Heri mtu yule aonaye hekima, Na mtu yule apataye ufahamu. Maana biashara yake ni bora kuliko biashara ya fedha, Na faida yake ni nyingi kuliko dhahabu safi.