Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 103:13-14

Zab 103:13-14 SUV

Kama vile baba awahurumiavyo watoto wake, Ndivyo BWANA anavyowahurumia wamchao. Kwa maana Yeye anatujua umbo letu, Na kukumbuka ya kuwa sisi tu mavumbi.