Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 127:3-4

Zab 127:3-4 SUV

Tazama, wana ndio urithi wa BWANA, Uzao wa tumbo ni thawabu. Kama mishale mkononi mwa shujaa, Ndivyo walivyo wana wa ujanani.

Soma Zab 127

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zab 127:3-4