Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 51:1-2

Zab 51:1-2 SUV

Ee Mungu, unirehemu, Sawasawa na fadhili zako. Kiasi cha wingi wa rehema zako, Uyafute makosa yangu. Unioshe kabisa na uovu wangu, Unitakase dhambi zangu.

Soma Zab 51

Verse Image for Zab 51:1-2

Zab 51:1-2 - Ee Mungu, unirehemu,
Sawasawa na fadhili zako.
Kiasi cha wingi wa rehema zako,
Uyafute makosa yangu.
Unioshe kabisa na uovu wangu,
Unitakase dhambi zangu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zab 51:1-2