Zaburi 51:1-2
Zaburi 51:1-2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ee Mungu, unirehemu, Sawasawa na fadhili zako. Kiasi cha wingi wa rehema zako, Uyafute makosa yangu. Unioshe kabisa na uovu wangu, Unitakase dhambi zangu.
Shirikisha
Soma Zaburi 51Zaburi 51:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Nihurumie, Ee Mungu, kadiri ya fadhili zako; ufutilie mbali makosa yangu, kadiri ya wingi wa huruma yako. Unioshe kabisa hatia yangu; unisafishe dhambi yangu.
Shirikisha
Soma Zaburi 51Zaburi 51:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ee Mungu, unirehemu, kulingana na fadhili zako. Kiasi cha wingi wa rehema zako, Uyafute makosa yangu. Unioshe kabisa uovu wangu, Unitakase dhambi zangu.
Shirikisha
Soma Zaburi 51