Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufu 11:18

Ufu 11:18 SUV

Na mataifa walikasirika, hasira yako nayo ikaja, na wakati ukaja wa kuhukumiwa waliokufa, na wa kuwapa thawabu yao watumwa wako manabii na watakatifu, na hao walichao jina lako, wadogo kwa wakubwa, na wa kuwaharibu hao waiharibuo nchi.

Soma Ufu 11

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufu 11:18